Moto Wateketeza Nyumba Sinza – Dar

Nyumba namba 50, iliyopo mtaa wa Sinza D, Vatican jijini Dar es salaam, imeteketea kwa moto leo Jumatatu, Oktoba 12, 2020. Imeelezwa kuwa vitu vyote vimeteketea ndani ya nyumba hiyo bila kuokolewa kutokana na nyumba kuwa imefungwa na wamiliki wake wakiwa kazini.

 

Chanzo cha moto huo bado hakijafahamika mpaka sasa…..!

Endelea kufuatilia habari zetu kwa taarifa zaidi.

Toa comment