visa

Moto Wateketeza Soko la Githurai 45

MOTO mkubwa ulioibuka usiku wa kuamkia leo Jumatatu, Agosti 19, 2019, umeteketeza Soko la Githurai 45, lililopo Nairobi nchini Kenya na kuharibu mali ambazo bado thamani yake haijafahamika.

 

Aidha, kiwanda cha kutengeneza samani nacho kimeteketea huku mamlaka za nchini humo hazijaeleza chanzo cha moto huo ambao umezimwa kwa juhudi za kikosi cha zimamoto.

 

Taarifa zaidi tutaendelea kukujuza.
Toa comment