The House of Favourite Newspapers

Mourihno Kuongeza Mkataba Mpya Man U

MENEJA Mkuu wa Man U, Jose Mourinho ameanza kufanya mazungumzo ili kufikia makubaliano na uongozi wa klabu hiyo ili aendelee kuinoa hadi hadi mwaka 2021.

Mourinho amekua na sintofahamu kuhusu mkataba wake wa miaka mitatu ndani ya klabu hiyo aliosaini Mei mwaka 2016 akichukua mikoba ya Louis van Gaal.

nImeelezwa kuwa wakala wake, Jorge Mendes aafanya kila jitihada kuona Mourinho ‘The Special One’ anaendelea kubaki Old Traford.

Comments are closed.