MPAKA HOME: Maisha Halisi ya BECKA TITLE wa B.O.B Micharazo – Video


Mpaka Home wiki hii tumemuibukia Mkali wa RNB Bongo, Becka Title, ambaye amenga’ra zaidi kupitia kundi lao la BOB Micharazo linaloongozwa na Mr Blue.

 

Becka Title ambaye anaishi maeneo ya Kinondoni Studio kwenye mjengo wake wa kifahari, amezungumzia pia kuhusiana na maisha yake ya muziki baada ya kimya cha muda mrefu, masuala yake ya Mapenzi na mengineyo.

Toa comment