MPAKA HOME: Maisha Halisi ya PEMBE, Ana Watoto 10! – VIDEO

Katika kipindi cha Mpaka Home wiki hii tumeibuka maeneo ya Yombo Buza jijini Dar nyumbani kwa Msanii Mkongwe wa Vichekesho anayeitwa Pembe.

Pembe ambaye anaishi na mke wake na watoto 10, amefunguka mambo mengi kuhusiana na kazi yake ya uigizaji na kimya cha muda mrefu, Anachokifanya kwa sasa mbali na kuigiza pamoja na mambo mengine yote unayotamani kuyajua.

Toa comment