VIDEO: Muigizaji Duma ‘Avamiwa’ Usiku wa Manane

Duma.

 

Ukisikia hatuachi kitu ujue ni kweli tunamaanisha na katika kulitekeleza hilo Global TV ‘imevamia’ nyumbani kwa muigizaji Daudi Michael wa siri ya Mtungi maarufu kwa jina la Duma usiku wa manane na kufanya mahojiano naye kwa kina juu ya kazi yake ya sanaa na maisha kwa ujumla na hapa tumekuletea kila kitu ujionee mwenyewe.

 

Mpaka Home: Muigizaji Duma Aibukiwa Usiku wa Manane


Loading...

Toa comment