The House of Favourite Newspapers

MPAKA HOME: MUME WA MAREHEMU RECHO HAULE ATOBOA SIRI NZITO (VIDEO)

MUME wa aliyekuwa msanii wa filamu za Kibongo, marehemu Recho Haule, Saguda George amefunguka siri nzito juu ya maisha yake na aliyekuwa mkewe huyo.

 

Katika mahojiano na kipindi bora kabisa cha Mpaka Home, Saguda ameanika mengi ikiwemo historia ya maisha yao, walivyokutana, wakapendana hadi kufikia hatua ya kuzaa mtoto mpaka umauti unamkuta.

 

Pia ametaja vitu ambavyo akiviona anamkumbuka mpenzi wake huyo ambaye alifariki mwaka 2014 muda mchache baada ya kujifungua katika Hospitali ya taifa Muhimbili.

 

Je, ni mambo gani hayo? Bofya PLAY na tazama hatua kwa hatua ya kipindi hiki bora kabisa, Mpaka Home.

Comments are closed.