The House of Favourite Newspapers

Mzee Chillo Alilia Mtoto wa Uzeeni – Video

MUIGIZAJI wa kitambo katika tasnia ya filamu Bongo, Ahmed Ollotu maarufu kwa jina la mzee Chillo amesema anayo hamu kubwa sana ya kupata mtoto wa uzeeni kwa mkewe wa sasa ambaye hajazaa naye.

Mzee chillo aliyasema hayo hivi karibuni katika mahojiano maalum na kipindi kinachojizolea umaarufu mkubwa nchini cha Mpaka Home, kupitia runinga bora kabisa ya mtandaoni ya Global TV.

Kifupi ni kwamba mzee huyu ana mtoto mmoja aliyempata kwa mkewe wa kwanza. Kupata undani wa maisha halisi ya mzee chillo, tazama kipindi hiki.

Comments are closed.