The House of Favourite Newspapers

Mpangaji Auza Nyumba, Bibi Aangua Kilio – Video

0

Ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni, huu ni msemo unaotumiwa na watu wengi hasa wanapopatwa na majanga kama yaliyomkuta Bibi, AMINA SHOMARI MHAMBA, mkazi wa kata ya Kihonda manispaa ya Morogoro anayedaiwa kutapeliwa nyumba na mpangaji wake baada ya kudaiwa kuwa amemuibia kompyuta mpakato yenye thamani ya shilingi milioni moja na laki nne.

Leave A Reply