The House of Favourite Newspapers

Mpenzi wa Jim Carrey, Cathriona azikwa karibu na baba yake

0

jimmy2211jimmyJim Carrey (katikati) na baadhi ya waomboleza wakibeba jeneza la aliyekuwa mpenzi wake, Cathrion White.
jimmy2332Gari lenye mwili wa marehemu Cathriona.
jimmy2232Watoto wa shule nao walikuwepo kumuaga Cathriona.
jimmy1212 jimmy3322
jimmy342Eneo la makaburi ya familia ya White.jimmy544Waombolezaji wakielekea eneo la makaburi.
jimmy12 Carrie akilia kwa uchungu kumpoteza aliyekuwa mpenzi wake, Cathriona.jimmy1jimmy34342 Jeneza lenye mwili wa marehemu Cathriona.jimmy21212jimmy32323Wakiingia kanisani.
jimmy22112 Kanisa la Mama wa Fatima ambamo marehemu Cathriona alifanyiwa misa ya kuaga mwili wake.
jimmy3433 Ndugu, jamaa na marafiki wakiteta jambo nje ya kanisa.jimmy3432

Ndugu na marafiki wakipeleka mauwa kwenye kaburi la Carrey (halipo pichani).
JIM (2)

Marehemu Cathriona White  akiwa na aliyekuwa mpenzi wake, Jim Carrey.

Ireland, Uingereza

CATHRIONA WHITE (28) mkazi wa visiwa vya Ireland, Uingereza,  aliyesadikiwa kujiua Jumatatu iliyopiyta baada ‘kutemwa’ na mpenzi wake ambaye ni mwigizaji maarufu wa filamu za Hollywood, Jim Carrey amezikwa nyumbani kwao visiwa vya Ireland katika makaburi ya familia. Cathriona amezikwa jilani na kaburi la maerehemu baba yake Pat.

Msiba huo umehudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki wengi akiwemo Jim Carrey aliyesafiri kutoka marekana hadi visiwa vya Ireland kwa ndege binafsi jana.

Siku moja kabla ya kifo chake, Cathriona aliandika ujumbe kwenye mtandao wa Twitter kuwa, “Ninajiondoa kwenye mtandao wa Twitter, nimekuwa mwema kwa marafiki zangu na mpenzi wangu.”

Cathriona na Carrey walianza uhusiano mwaka 2012, lakini baadaye walifarakana na kuachana baada ya miezi michache. Mwaka 2014 walirudiana wakaendelea na mahusiano kwa muda wa wiki mbili tu kabla ya kuachana tena. Mei mwaka huu marafiki hao walirudiana tena kwa mara nyingine ndipo walipokuja kuachana tena hivi karibuni.

Leave A Reply