Mr Blue Aungana Na Nandy Kwenye ‘Blue’ Video Mpya
Muunganiko wa Mr Blue na Nandy umetupatia jina la video ya wimbo unaoitwa ‘Blue’.
Video imetengenezwa nchini Afrika Kusini pamoja na Tanzania. Imeongozwa na Msafiri Shabani toka Kwetu Studio.
Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa, ingia Global App na kama huja-install, tumekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇
Android ===>GooglePlay
iOS ===>AppStore
Itazame hapa.
Comments are closed.