The House of Favourite Newspapers
gunners X

MR Shinda Nyumba Afunga Mitaa Kukusanya Kuponi

DAR ES SALAAAM: Mr. Shinda Nyumba, Julius Charles leo Jumamosi amefunga mitaa mbalimbali katika jijini la Dar, wakati akipita kukusanya kuponi za Shinda Nyumba za droo ya kwanza inayotarajiwa kuchezeshwa Februari 8, mwaka huu katika Viwanja vya Mbagala Zakhem jijini Dar.

…akigawa vipeperushi vya shinda nyumba

Wasomaji kibao wa maeneo ya Luhanga, Kigogo, Tabata- Dampo, Bima, Liwiti, Barakuda, Karakata,Vingunguti walimpokea kwa shangwe na furaha tele huku wakilazimisha kufunga mitaa kadhaa ili kupata maelezo na kukusanya kuponi zao kwa Mr Shinda Nyumba.

Akizungumza na baadhi ya wasomaji wa magazeti pendwa ya Kampuni ya Global Publishers, Mr Shinda Nyumba amewataka wasomaji kuendelea kusoma magazeti na kukata kuponi kwa ajili ya kushinda zawadi mbalimbali.

“Nitakuwa napita mtaani kwa ajili yenu wasomaji wetu na mimi nitatoa zawadi ndogondogo kwa kila msomaji ambaye atajaza kuponi za shinda nyumba, pia niwakaribishe katika droo ya kwanza ya Shinda Nyumba itakayofanyika Februari 8, mwaka huu pale Viwanja vya Zakhem-Mbagala jijini Dar,”alisema Mr Shinda Nyumba.

akiwa ma marceli

Mr shinda nyumba akiwa amefunga mtaa kwa wasomaji kupata maelezo

MR Shinda Nyumba akiwa na wasomaji wa Kigogo Luhaga jijini Dar

msomaji Candy wa Mabibo jijini Dar akiwa na Mr Shinda Nyumba

wasomaji wa Luhanga wakiwa kwenye pozi

Na Gabriel Ng’osha/GPL

Shinda Nyumba Awamu ya Pili Yatikisa Jiji la Dar es Salaam

Comments are closed.