Mrembo Afanyiwa Kitu Mbaya Kisa Mapenzi – Video
Binti Angel Peter ameendelea kuuguza makovu aliyoyapata baada ya kuchanwa na viwembe na wasichana ambao walikuwa wamelenga kumfanyia tukio hilo rafiki wa Angel kwa kile kinachodaiwa kuwa alikuwa akitembea na mwanume wa mtu.
Makovu hayo yamevamiwa na bakteria ambao wamefanya yavimbe na kwa mujibu wa daktari huenda baadae akapata kansa na hivyo anaomba msaada ili aaweze kufanyiwa upasuaji wa makovu hayo.


