The House of Favourite Newspapers
gunners X

Mrembo Afanyiwa Upasuaji Zaidi Ya Mara 10, Aomba Msaada – Video

0


Hawa Hussein Ibrahim ni mama wa mtoto mmoja anayepitia changamoto nyingi za kiafya kwa kufanyiwa operesheni ya tumbo zaidi ya mara kumi.

 

Familia ilikuwa ikimtazama Hawa kama nguzo na kimbilio lao. Hawa anatamani kuwa kama zamani, “Natamani kuishi na kurudi kazini.”

 

Mama mzazi wa Hawa, ambaye alimtazama Hawa kama kimbilio lake, leo hii ndiye amekuwa muuguzi wake huku yeye mwenyewe akisumbuliwa na maradhi hatari ya Figo, Presha, Moyo na Kisukari.

 

Familia hii inahitaji faraja, upendo na msaada wa hali na mali kutoka kwa watanzania wote. Kwa mawasiliano ya mojakwa moja, Mpigie HAWA kwa nmaba: 0789 095858. Tigo Pesa 0712 595858 au M-Pesa 0766 362633. MUNGU AKUBARIKI!

 

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave A Reply