The House of Favourite Newspapers

Mrembo Kutoka Omani Adai Kuibiwa Gari Na Mpenzi Wake Arusha – Video

0

Mrembo mmoja kutoka Arusha anadai kuwa alinunua gari na kumkabidhi mpenzi wake aliyetambulika kwa jina la Mohammed Juma ambaye alikata mawasilia mara baada ya dada huyo kuelekea Oman.

Mrembo huyo anaendelea kuiambia Global Tv kuwa Juma alianza kuzima simu na mara nyingine kutopokea akidai kuwa kafiwa na babu yake hivyo hataki usumbufu kwani ana majonzi.

Leave A Reply