Mrembo Maarufu Kwenye Mitandao Poshy Queen Akana Kutengeneza Shepu Yake Matata

Mrembo maarufu kwenye mitandao ya kijamii (sosholaiti), Poshy Queen.

 

Poshy Queen; ni mrembo maarufu kwenye mitandao ya kijamii (sosholaiti) nchini Tanzania ambaye amekuwa akizungumziwa mno juu ya kutengeneza shepu matata aliyonayo, lakini mwenye anasema hajawahi kufanya jambo kama hiyo.

Poshy Queenn anasema kuwa umbo lake matata (kiuno cha nyigu) linatokana na asili ya familia yake kwani hata mama yake ana shepu kuliko hata yeye.

 

Kwa baadhi ya watu wanaojua familia ya Poshy Queen ambao ni wenyeji wa jijini Mbeya wanasema ni kweli ni asili yao kwani ndugu zake nao wamejaaliwa shepu kama ilivyo kwa wanawake walio wengi kutoka jijini Mbeya.

STOLI: SIFAE LPAUL

MWIJAKU, BABA LEVO WALA SHAVU DSTV, WAZINDUA MSIMU wa PILI wa MAISHA MAGIC POA, SHILOLE NAYE NDANI..2176
SWALI LA LEO

Kupanda Kwa Bei ya Mafuta Nchini, Nini Kifanyike Kupunguza Bei?
Toa comment