Mrembo Tanna Baby Anakukaribisha Kuitazama ‘Tunaendana’ Video Mpya

 

Baada ya mafanikio mazuri ya wimbo wake wa ‘nipe’ alioufanya na Walter Chilambo, ndio yamemfikisha kwenye mabadiliko ya video yake mpya ‘Tunaendana’.

 

Video imeongozwa na Inno Mafuru, audio imetengenezwa na Kara Lee.

 

 

Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa,  ingia Global App na kama huja-install, tumekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇

Android ===>GooglePlay

iOS ===>AppStore

Itazame hapa.

 


Loading...

Toa comment