The House of Favourite Newspapers

Mrithi wa Metacha Yanga Huyu Hapa

0

Klabu ya Yanga imefanya mazungumzo na golikipa wa Klabu ya FC San Pedro ya nchini Ivory Coast, Tape Eliezer Ira, ili kuja kuwapa changamoto magolikipa wa klabu hiyo Metacha Mnata na Farouck Shikalo.

 

Leave A Reply