The House of Favourite Newspapers

Msaada wa Vyakula Watolewa na Meridianbet Chamazi

0

Jumamosi ya leo Meridianbet wametua pale Chamazi Magengeni kwaajili ya kutoa msaada wa vyakula kwa wakazi wa hapo hasa kwa zile familia ambazo zina uhitaji na zisizjiweza kwa kushirikiana na KMC.

Meridianbet ambao ndio wadhamini wakuu wa KMC, timu ambayo msimu huu imekuwa na mwenendo mzuri kwenye ligi ikishika nafasi ya 5 mpaka sasa wamekuwa na kawaida ya kuchagua mchezaji bora wa mwezi.

Hivyo basi kwa kuona hivyo Meridianbet iliona kwanini isiwe inatoa zawadi kwa yule mchezaji ambaye amechaguliwa?. Basi mwezi Aprili Abdalla Lanso ambaye ni ingizo jipya la dirisha dogo kutoka Zanzibar aliibuka kuwa mchezaji bora wa mwezi huo na akaamua kuwa yeye atatoa msaada wa vyakula maeneo ya Chamazi.

Lanso akiwa ni mwenyeji wa Zanzibar aliamua kupeleka msaada huko kwani ndiko alikofikia hivyo akaona ni vyema awafikie wakazi wa huko, lakini hakuwa peke yake kwani bado hajui vizuri mazingira ya huko akaamua kushirikiana na mchezaji mwenzake Tepsie Evans pamoja na Meridianbet.

Msaada ambao uliwafikia wakazi wa huko ni pamoja na mafuta ya kupikia, mchele, sabuni, sukari, na unga wa ngano ambavyo hivyo vote vitawasaidia kwenye maisha yao ya kila siku. Meridianbet inatoa ODDS KUBWA kwenye mechi za leo ingia na ubashiri sasa.

Ndugu mteja kumbuka na wewe unaweza kupiga mkwanja kwa kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Poker, Roulette, Rocketman, Michezo ya Sloti na mingine kibao. Ingia Meridianbet na ucheze sasa.

Lanso amesema kuwa ameamua kurejesha kwenye jamii yake kwasababu “”Nimetoka kwenye mazingira magumu nyumbani Zanzibar baada ya kufika Dar kwa mara ya kwanza nilipokewa vizuri na nilijihisi nina deni kubwa la kulipa, niwashukuru Meridianbet kwa kuniwezesha kukamilisha hitaji langu la moyoni la kusaidia jamii, napenda kutoa misaada na leo nimefika hapa Chamazi kukabidhi hiki kidogo, nilichojaliwa” Abdalla Lanso

Meridianbet wamesema kuwa wamezungukwa na jamii ambayo ina mahitaji mengi sana, na mpaka sasa wamegusa watu wengi sana wenye mahitaji, na hili ni zoezi endelevu kwao kugusu wenye mahitaji.

Meridianbet wamesema kuwa hawataishia hapa siku nyingine itakuwa ni zamu ya watu wa eneo lingine, huku ukijua kuwa ligi zinaendea mwishoni ambapo leo kuna mechi kibao kubwa na zenye machaguo zaidi ya 1000 kupigwa. Bashiri sasa.

Beti na meridinabet mechi kali leo zipo kibao wale wenye kubeti bila bando na wanaotumia kitochi ni rahisi sana piga *149*10#. Meridianbet ushindi ni wako sasa.

Leave A Reply