The House of Favourite Newspapers

Msaidizi Wa DC Arusha Apigwa Jiwe Akiwatuliza Wananchi Wasifunge Barabara – Video


Tukio lisilo la kawaida limetokea jijini Arusha na kusababisha taharuki baada ya mtu ambaye bado hajafahamika, kumshambulia kichwani kwa jiwe Afisa Tarafa wa Sokoni One, aliyekuwa anawatuliza wananchi waliokuwa wakitaka kuandamana.