Msama: Vijana Tulieni Nyumbani Tarehe 09 Msivunje Sheria
Mfanyabiashara na Mkurugenzi wa Msama Promotions Alex Msama amewataka vijana nchini kutokuwa daraja la uvunjifu wa amani.
Aidha amewataka wazazi kuzungumza na watoto wao wasidanganyike na mataifa ya nje kwani madhaya yanapotokea waathilika wakubwa ni wao na kwamba asiyefunzwa na wazazi atafunzwa na ulimwengu.
Msama pia ametoa wito kwa viongozi wa dini kutojihusisha na masuala ya siasa badala yake waihubiri amani ya nc
hi.

