Msanii Amuua Mwenzake kwa Kumchoma Kisu Kifuani Kisa Maiki – Video

MSANII achomwa kisu wakati wakigombea maiki na wenzake, taarifa zinaeleza kuwa kijana huyo aliyejulikana kwa jina la Yusuph mwenye umri wa miaka 20 alichomwa kisu na wenzake baada ya kuibuka mshindi katika tuzo walizokuwa wakipatiwa endapo utakuwa umeshiriki vyema katika shindano hilo la kuimba katika mtaa wa salala jijini Dar es Salaam.

 

Kijana huyo aliyezikwa katika makaburi ya Salasala jijini Dar es Salaam apewa heshima kubwa na wenzake ambao waliamua kubeba jeneza kwa kupiga magoti hadi kufika makaburini.

 


Loading...

Toa comment