Msanii Mpya wa Harmonize Aliyezua Kizaazaa Afunguka – Video

GLOBAL TV imepiga stori na mwanamuziki Chipukizi, Harmocent ambaye anamuiga mwanamuziki, Harmonize, kwenye kila kitu kuanzia muonekano hadi maisha yake kwa ujumla.

Toa comment