The House of Favourite Newspapers

Msemaji wa Polisi: Upelelezi Kuhusu Tarimo na Mmiliki wa Jengo Kariakoo Upo katika Hatua Nzuri

0

Msemaji wa Jeshi la Polisi Makao Makuu Dodoma David A.Misime amesema kuwa kutokana na waandishi wa habari na wananchi katika kufahamu hatua ilipofikiwa katika matukio mawili kati ya Deogratius Tarimo na Mmiliki wa Jengo lililoanguka huko Kariakoo hivyo upelelezi upo katika hatua nzuri na hivyo taarifa kamili itatolewa hivi karibuni kwa umma.

 

Leave A Reply