The House of Favourite Newspapers

MSHINDI SPOTI XTRA AKABIDHIWA ZAWADI

Mwandishi wa Spoti Xtra, Khadija Mngwai (kulia) akimkabidhi zawadi ya jezi, Halfan Habibu wa Keko Mwanga Dar es Salaam, baada ya kujishindia kwenye bahati nasibu ya shinda na Spoti Xtra.Halfan akiwa ameshikilia jezi yake ya Man United, baada ya kukabidhiwa.

Comments are closed.