Mshindi wa BSS Azungumza Madam Ritha “Sikutegemea” – Video
Mshindi wa Bongo Star Search (2019) Meshack Fukuta, amepiga stori na Global TV Online na kuelezea kwa kina kuhusiana na sakata lake la kutolipwa pesa yake ya ushindi ambayo ni kiasi cha shilingi Milioni 50.


