The House of Favourite Newspapers

Mshindi wa Droo ya Tatu ya Shinda Nyumba Kuondoka na Tecno Phantom 6 Leo

0
Tecno Phantom 6

Droo ndogo ya Shinda Nyumba awamu ya tatu itatolewa leo katika Viwanja vya Bakhresa, Manzese jijini Dar es Salaam ambapo mshindi kuondoka na simu ya Tecno Phantom 6 zawadi nyingine ni pikipiki, seti ya televisheni na dinner set.

Ili kushiriki kwenye Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba, nunua magazeti ya Global Publishers ambayo ni Uwazi, Risasi, Amani, Ijumaa Wikienda, Ijumaa na Championi kisha kata kuponi na uijaze, ipeleke kwa mawakala wetu waliosambaa nchi nzima na huenda ukaibuka mshindi.

Leave A Reply