MSIGWA Nae Amtetea DIAMOND, Amlipua MWAKYEMBE! – Video

Mbunge wa Jimbo la Iringa Vijijini, Peter Msigwa, amesimama Bungeni na kupinga sheria zilizowekwa na Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt Harrison Mwakyembe kupitia Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) kwa ajili ya kusimamia kazi za wasanii.

Loading...

Toa comment