The House of Favourite Newspapers

Mtabiri: Wema atazaa mtoto wa kike

0

wema33Gladness Mallya
WAKATI Wema Sepetu na mpenzi wake, Idris Sultan wakibishana juu ya jinsi ya mtoto atakayezaliwa, mtabiri maarufu Bongo, Maalim Hassan Yahya ameuondoa utata huo baada ya kufunguka kwamba mwanadada huyo atazaa mtoto wa kike.

Akipiga stori na gazeti hili, Maalim Hassan alisema kutokana na mwaka huu kuanza siku ya Ijumaa na nyota ya Wema ilivyo inaonesha kwamba atazaa mtoto wa kike.

shehe“Wema kama ana mimba kweli atazaa mtoto wa kike maana nyota yake na mwaka huu ulivyoanza ndiyo inavyoon esha, pia mambo yake mengi yatakuwa mazuri, yaani atafanikiwa kimaisha,” alisema Maalim.

Leave A Reply