Mtandao wa 5G Waanza Kupatikana Marekani

HATIMAYE mtandao wa 5G umeanza kupatikana katika baadhi ya majiji nchini Marekani.

Kampuni ya Verizon imefunga miundombinu ya 5G katika majiji matano ambayo ni; Houston, Indianapolis, Los Angeles, Sacramento na California.

Imeelezwa kuwa, ili kupata 5G lazima uwe kwenye moja ya majiji hayo na uwe na kifaa chenye uwezo wa kunasa na kutumia 5G.

 

 


Loading...

Toa comment