The House of Favourite Newspapers

Mtangazaji Maarufu Toka Mbeya ‘SDP’ Ameileta ‘Wavimbie’ Video Mpya

 

Mtangazaji maarufu toka Mbeya, Vocolizer SDP ameileta video ya wimbo wake mpya, ‘wavimbie’ na hii ikiwa ni mafanikio makubwa baada ya wimbo wake wa Shika Moyo kufanya vizuri.

 

Video imeongozwa na Poshadanta na audio imefanywa na Jay Wilz.

 

 

Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa ingia Global App na kama huja install, nimekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇

Android ===>GooglePlay

iOS ===>AppStore

Itazame hapa.

 

Comments are closed.