Mtangazaji Sakina Lyoka: Mwanaume Apewe Thamani Yake – Video
Mtangazaji Sakina Lyoka @sakinalyoka_ amefunguka kupitia kipindi cha Katikati ya Koko cha Global TV na @255globalradio kuwa mwanaume anatakiwa apewe thamani yake katika ndoa.
Sakina ameeleza kwamba mke anatakiwa amstiri mumewe katika hali zote kwani wanaume wanapitia mengi katika kuhakikisha familia zao zinakuwa salama.