Mtanzania Aliyepewa Kesi Na Bosi Wake Omani – Ajikuta Kwenye Mikono Hatari – Video
Global Tv imefanya mahojiano na Dada Zanin Kikumbi aliyekuwa nchini Oman kwa ajili ya kutafuta na ameeleza namna maisha yalivyokuwa magumu hata kufikia hatua ya kurudi nchini kwake.