The House of Favourite Newspapers

Mteja wa Meridianbet Kutoka Temeke Ashinda Milioni 20 na Kasino ya Mtandaoni

0

Michezo ya kasino ya mtandaoni ipo mingi sana ambayo inatolewa na Meridianbet na moja ya mchezo ambayo wanayo ni Piggy Party ambao umempatia mteja wao shilingi 20,000,00 na kufanya atizimize ndoto zake za kuwa bingwa na mfalme mpya katika Jiji la Dar es salaam.

Waswahili wanakwambia pole pole ndio mwendo na bahati yako inakuja muda wowote ambapo kwa dau la shilingi 5000 mteja huo kutoka kwa Azizi Ally Temeke ndio bingwa mpya wa mchezo huo wa Piggy Party ambao unasisimua na kuburudisha wakati unapoucheza. Na baada ya kutangazwa kuwa bingwa, mteja huyo wa Jackpot wa Tsh 20,000,000/= amethibitisha kwamba bahati huwa inasubiri popote na wakati wowote.

NB: Ukijisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko 50 ya bure kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Jisajili na Cheza.

Meridianbet inatoa nafasi za kipekee za kushinda zawadi kwa wateja wake. Kupitia michezo ya kasino mtandaoni kama “Piggy Party,” Pia michezo ya kasino ya mtandaoni ipo mingi sana kama vile Poker, Aviator ambayo unaweza kucheza na kupiga mkwanja mrefu ambao unaweza kubadilisha maisha yako papo hapo.

Ikiwa unatamani kujaribu bahati yako na kushiriki katika furaha ya “Piggy Party” na michezo mingine ya Meridianbet unatakiwa kujisajili na Meridianbet na kuanza kucheza michezo mbalimbali inayopatikana ikiwemo Piggy Party.

Leave A Reply