The House of Favourite Newspapers

MTIBWA SUGAR MABINGWA UHAI CUP (UNDER 20)

 

TIMU ya Mtibwa Sugar wamefanikiwa kuipoka Simba ubingwa wa michuano ya Vijana wa Timu za Ligi Kuu Bara chini ya Umri wa MIaka 20 (Uhai CUP – Under 20) baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Stand United.

Stand wamechukua taji hilo ambalo lilikuwa linatetewa na aliyekuwa bingwa mtetezi, Simba SC ya jijini Dar es Salaam.

Mtibwa wamefanikiwa kutwaa kombe hilo kwa mara ya kwanza tangu kuazishwa kwake kupitia udhamini wa Maji ua kunywa ya Uhai.

Singida nao baada ya kupoteza wanakuwa wanaambulia nafasi ya pili kwenye mashindano hayo yaliyokuwa yanatimua vumbi kwenye Uwanja wa Chuo kikuu jijini Dodoma (UDOM).

Comments are closed.