The House of Favourite Newspapers

Mtitu, mkewe, mwanaye full kujiachia nyumbani

0

MTITU42KWA jina anaitwa William Mtitu, mmoja wa waigizaji na prodyuza mahiri wa filamu Bongo anayefanya vizuri.Wiki hii Mpaka Home ilipata nafasi ya kumtembelea nyumbani kwake Kigogo, Dar na kuona anavyoishi na familia yake.

Kabla ya kuanza kufotolewa picha za mambo anayoyafanya akiwa ‘home’ kwake, alizungumza mawili matatu na mwandishi wetu alisema kuwa haoni shida kumpa sapoti mkewe ya kufanya kazi mbalimbali kama kufua, kupika na kadhalika. Fuatilia matukio haya.

Leave A Reply