Mtoto Ajinyonga Akipika Ugali, Mama Mzazi Asimulia – Video

Binti wa miaka 16 aliyefahamika kwa jina la Maria amekutwa amejinyonga hadi kufa akiwa kwenye harakati za kuandaa chakula cha mchana, nyumbani kwao Goba Jijini Dar es Salaam.

 

Katika tukio hilo la kusikitisha, mama mzazi wa Maria amedai kwamba mwanae huyo hakuwa na matatizo ya akili wala shida mtu yeyote isipokuwa alikuwa akisumbuliwa na mapepo yaliyomfanya kuacha shule akiwa darasa la tano.

TAZAMA TUKIO HILO HAPA


Loading...

Toa comment