The House of Favourite Newspapers

Mtoto Amtoa Nishai Sabby

0

IMG20140822WA0057Staa wa Bongo Muvi, Sabrina Omary.

Stori: Imelda Mtema, Wikienda

Dar es Salaam: Makubwa! Mtoto wa staa wa Bongo Muvi, Sabrina Omary aitwaye Ashfaq amemtoa nishai mama’ke huyo baada ya kumtwanga swali la Kiingereza na alipochelewa kumjibu alimwambia kuwa staa anatakiwa kujibu swali kwa haraka.

Tukio hilo lilijiri kwenye duka moja la nguo ndani ya Mlimani City, Dar baada ya mtoto huyo kumuuliza kwa Kiingereza nini maana ya neno ‘majestic’ ndipo msanii huyo akawa anajing’atang’ata.

Leave A Reply