The House of Favourite Newspapers

Mtoto Wa Amina Chifupa Afunguka – “Nataka Kuwa Rais, Natamani Kuishi Kama Mama”-Video

0

KILA ifikapo Desemba 02, mtoto wa marehemu Amina Chifupa na Mohamed Mpakanjia, anayefahamika kwa jina la Abdulrahman, anasheherekea siku yake ya kuzaliwa, ambapo kwa mwaka huu ameadhimisha siku hiyo kwa namna tofauti akiwa nyumbani ambapo amefanya mazungumzo na Global TV na kuelezea anachokikumbuka kutoka kwa wazazi wake kila inapofika siku hiyo.

Leave A Reply