The House of Favourite Newspapers

Mtoto wa Anna Mghwira Anena Mazito Kifo cha Mama Yake- Video

0

Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amewaongoza mamia ya Wananchi Wilayani Arumeru Mkoani Arusha katika kuaga mwili pamoja na kuongoza mazishi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Bi. Anna Mgwira jana Julai 26,2021 nyumbani kwake Usa River Wilayani Arumeru Mkoani Arusha na kuhuzuliwa na viongozi mba.

 

Leave A Reply