visa

Mtoto wa H-Baba awa balozi wa duka la EBM

h-baba (1)

H-Baba akimsaidia kukata keki ya sherehe mwanaye Tanzanite.

h-baba (2)

Tanzanite akimlisha keki baba yake H-Baba huku mama yake mzazi akishuhudia kwa karibu tukio hilo.

h-baba (3)

Muigizaji wa filamu Davina akilishwa keki na Tanzanite.

h-baba (4)

Mmiliki wa duka lililomteua Tanzanite kuwa balozi wake, Ernest Makulilo, akilishwa keki hiyo.

h-baba (5)

Mdhamini wa shughuli hiyo ambaye ni Mkurugenzi wa The Fadhagate Sanitarium Clinic Child akilishwa keki.

h-baba (6)

Davina akiwakabidhi tuzo ya Wanandoa Bora H-Baba na mkewe Flora Mvungi.

h-baba (7)

H- Baba (kulia) akimkabidhi tuzo ya heshima msanii Dully Sykes.

h-baba (8)

Mkurugenzi wa The Fadhagate Sanitarium Clinic Child  Fadhili akimkabidhi tuzo kwa niaba ya kampuni hiyo Tanzanite.

h-baba (9)

Muigizaji wa filamu Riyama Ally akikabidhiwa tuzo ya heshima na Flora Mvungi.

h-baba (10)

Baadhi ya waalikwa waliojitokeza kwenye hafla hiyo.

MTOTO wa staa wa Bongo Fleva, Hamisi Ramadhani ‘’H-Baba’, jana alifanyiwa sherehe fupi baada ya kupata dili la kuwa balozi wa duka la EBM linalouza nguo za watoto na watu wazima.

Sherehe hizo zilifanyika jana jioni ndani ya Ukumbi uliopo katika Hoteli ya City Style Sinza- Mugabe jijini Dar es Salaam.

Katika hafla hiyo H-Baba pia aliweza kutoa tuzo mbalimbali kwa watu waliyoonyesha mchango mkubwa kwake na sanaa mbalimbali hapa nchini.

Habari/Picha: Musa Mateja/GPL
Toa comment