The House of Favourite Newspapers

Mtoto wa Miaka 9 Aongoza kwa Kulipwa Pesa Nyingi YouTube

0

 

JARIDA la Forbes, linamtaja kijana #RyanKaji, mwenye umri wa miaka tisa, kuwa ndiye Youtuber (mpandisha maudhui kwenye mtandao wa YouTube) aliyeingiza pesa nyingi zaidi katika mtandao huo kwa mwaka huu 2020.

 

#Kaji ambaye anaishi Texas, Marekani ameingiza $29.5 Milioni, ambazo ni zaidi ya Sh. bilioni 66 za Tanzania kwa mwaka huu 2020 kutokana na video mbalimbali anazozipandisha kwenye Chaneli yake inayoitwa “Ryan World” yenye jumla ya Subscribers Milioni 27.6 hadi sasa.

Leave A Reply