Mtoto wa Mpigania Uhuru: Baba Alizikwa Hapa! – Video

MTOTO wa aliyekuwa mpigania ukombozi wa Afrika  Kusini aitwaye David, mkazi wa Morogoro amesimulia maisha yake anayoishi baada ya kuishi kwa muda mrefu pasipokujua ndugu zake.

 

Kijana huyo anaeleza kuwa inaishukuru serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuendelea kuwa  sambamba na watoto wengine ambao ni kizazi cha wapiganiauhuru wa Afrika Kusini, pia anampongeza Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa,  kwa kuwatembelea huko mkoani Morogoro na kujionea makaburi ya waasisi waliopigania ukombozi wa nchi hiyo.

 


Loading...

Toa comment