The House of Favourite Newspapers

Mtuhumiwa Avurugwa Ataka Kuvunja Kamera za Waandishi – Video

 

Bi. Salma Mtambo aliyehukumiwa miaka sita jela nusura avunje kamera za mapaparazi waliokuwa wakitekeleza majukumu yao ya kikazi Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kuwapa vitisho kwa waandishi watakao mpiga picha na kusema.

 

“Atakayenipiga picha atakiona cha mtemakuni, nitadili naye leo ili nimfundishe, mmezoea kunipiga picha ila leo mtaona,” amesema Bi Salma.

 

Mshtakiwa huyo alihukumiwa kifungo kwa mashtaka 17 ikiwemo kuwasilisha nyaraka za uongo na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu ambapo hivi sasa anatakiwa kulipa fidia zaidi ya bilioni moja.

Comments are closed.