The House of Favourite Newspapers

Mgombea Ubunge CCM, Maulid Mtulia Akipiga Kura Yake – (Video)

Mgombea Ubunge Jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Maulid Mtulia, amepiga kura asubuhi hii ya Feb. 17, 2018 katika kituo cha Friends Corner huko Kata ya Ndugumbi jijini Dar es Salaam.

Akizungumza mara baada ya kupiga kura yake, Mtulia amesema atakubaliana na matokeo yoyote yatakayo tangazwa.

Mara baada ya kupiga kura alianza kupita katika vituo mbalimbali vya kupigia kura na kuangalia hali ya usalama na namna ambavyo wananchi wameitika kujitokeza kupiga kura.

 

Updates zote za uchaguzi wa Kinondoni na Siha utazipata ndani ya Application ya Global Publishers.

 
Install #GlobalPublishersApp usipitwe.
Android: ==>http://bit.ly/2AAQe1d
iOS: ==>http://apple.co/2Assf4M

Comments are closed.