MTV Base Yawataja Wasanii 4 Wa R&B Wa Kuwasikiliza Zaidi Kutoka East Africa; Tanzania Wapo Wawili

Bongo Fleva inakua kila siku na yote ni kutokana na juhudi za wasanii wetu kutoa kazi bora zinazokubalika sio tu na mashabiki wa nyumbani bali na mashabiki nje ya Tanzania, ikiwemo Africa na dunia kwa ujumla.

Nimetembelea website ya MTV Base na huko nimekutana na list ya Wasanii 4 Wa R&B (East Africa) Wa Kuwasikiliza Zaidi Kwenye Playlist Za Muziki iliyowahusisha wasanii wawili Ben Pol na Juma ‘Jux’ kutoka Bongo Flevani. Kwa mujibu wa mtandao huo muziki wa East Africa ni muziki unaokua kwa kasi na kwa kiwango cha hali ya juu huku asilimia kubwa ya muziki huu ukibebwa na miondoko ya R&B:

East Africa is churning out some seriously good music right now and a lot of it is coming in the R&B sector. If you’re excited about the future of this genre, we’ve compiled a list of four R&B singers that you need to add to your library… ” – Wamesema MTV Base.

Kuhusu Ben Pol na JUX, hiki ndio walichosema:

Ben Pol – Tanzania: Ben has been widely hailed as Tanzania’s “King of R&B” and with good reason too. His lengthy career has seen his name gain recognition around the continent and he’s definitely one of the strongest artists in his country.

“Juma Mussa (JUX) – Tanzania: Last but not least we have Juma Mussa AKA Jux. JUX has been on the scene for a minute and recently recorded a single with Vanessa Mdee.

 

Imeandikwa Na: Sandra Brown

Source: MTV Base.

Subscribe kwenye YouTube Chanel yetu ya Global TV Online ili zote kali zinazotufikia iwe ni siasa, michezo, comedy, burudani, stori za mastaamuziki na nyingine kali zikufikie kwa wakati.


Stori zinazo husiana na ulizosoma

Toa comment