The House of Favourite Newspapers

Mudathir Yahya: Mkataba Umeisha, Ninawasikiliza Yanga Kwanza

Kiungo wa klabu ya Yanga, Mudathir Yahya Abbas, amethibitisha kuwa mkataba wake na mabingwa hao wa Ligi Kuu Tanzania Bara umeisha rasmi, lakini bado hajafanya uamuzi wa mwisho kuhusu hatma yake ya baadaye.

Katika mahojiano yake, Mudathir amesema:

“Mkataba wangu umeisha, hadi hivi sasa bado sijasaini. Nawasikilizia viongozi wangu. Wakinihitaji nitaendelea, mimi ni mfanyakazi.”

MTENDAJI MKUU YANGA AMUWEKEA PINGAMIZI RAIS KARIA – ASHINDWA KUTOKEA ALIPOHITAJIKA…