Muhimbili Wampongeza Magufuli kwa Kufanya Mabadiliko
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Prof. Lawrence M. Museru (katikati) na kulia kwake ni Mkuu wa Mawasiliano, Aminiel Aligaesha wa Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Viongozi waliokuwa meza kuu walivyoonekana katika mkutano huo na wanahabari.
Taswila ya mkutano huo ilivyoonekana.
Wanahabari wakichukua tukio hilo.
Baadhi ya wanahabari na wafanyakazi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili wakifuatilia kwa makini mkutano huo.
(HABARI: DENIS MTIMA/GPL)