The House of Favourite Newspapers
gunners X

Muigizaji Wa Kundi La Orijino Komedi, Joti Afunga Ndoa (Video)

0
Muigizaji wa vichekesho nchini kutoka Kundi la Orijino Komedi, Lucas Mhuvile ‘Joti’ ameuaga ukapela baada ya kufunga ndoa na mpenzi  wake aliyefahamikwa kwa jina la  Tumaini, katika Kanisa Katoliki la Magomeni jijini Dar leo.
Joti na mkewe wakiwa kanisani.
Baadhi ya waumini waliohudhuria Misa ya Ndoa ya Joti .
…Mambo yakiendelea.

MUIGIZAJI wa vichekesho nchini kutoka Kundi la Orijino Komedi, Joti ameuaga ukapela baada ya kufunga ndoa na mpenzi wake aliyefahamika kwa jina la Tumaini, ndoa hiyo imefungwa Agosti 28, mwaka huu katika Kanisa Katoliki la Magomeni jijini Dar. Sherehe ya harusi itafanyika leo jioni katika Ukumbi wa Mlimani City ambapo wadau na mastaa mbalimbali watahudhuria.

(PICHA: AMANI MADEBE – GLOBAL TV ONLINE)

Leave A Reply