Mulky Afunguka Penzi Lake Na Isarito ”Ni Kitu Cha Kawaida” – Video
Msanii ambaye anafanya vizuri sana katika tamthiliya ya Bunji na Jua Kali, Mulky Salum amesema kuwa kutokana na ushikaji mkubwa sana uliokuwepo kati yake na muigizaji mwenzake Lucas, hawezi kutoka kimapenzi hata kidogo japokuwa watu wengi wanatamani wangekuwa wapenzi kweli.